Breaking News

MATOKEO YA LIGI KUU ENGLAND LEO(EPL) ROUND YA 3


  • Ligi kuu ya England imeendeleaa leo,ambapo viwanja takribani viwili vilikuwa vikiwaka moto.Mchezo wa kwanza ulizikutanisha timu ya Manchester city VS West ham. Hadi kufikia dakika ya 90 ya mchezo,timu ya manchester city iliibuka kifua mbele kwa kuifunga West ham magoli 3 kwa 1 la west ham.Magoli ya manchester city yalifungwa na Raheem sterling(7) na Fernandinho(18), Uku goli la kufutia machozi la West ham likifungwa na M.Antonia(58)..


  • Mchezo mwingine ulizikutanisha timu za West bromwich VS middlesbrough, Timu hizi kila timu ilicheza katika kiwango chake na kupelekea adi dakika ya 90 mchezo kumalizika timu zilitoka sare ya bila kufungana,,na kupelekea kila timu kupata point 1.

No comments