AUDIO: Aslay - KIDAWA | download mp3
Msanii anayeunda kikundi cha muziki cha Yamoto band, ASLAY, Baada yakufanya vizuri kipindi anaanzaa muziki na ngoma yake ya NAKUSEMEA KWA MAMA, Mtu wangu naamini ushazoea kuona Yamoto band wakitoa ngoma ya pamoja wakiwa wote. Lakini kwa leo nimekusogezea nyimbo ya ASLAY - KIDAWA. Single hii imefanyika ndani ya studio za MOJA MOJA RECORD Produce by ZEST. Download and listen hapa chini
No comments