Hii ni hit song toka kwa vijana Wanne wanaounda kundi la muziki la WASOJALI BAND. Leo Hii Wanawakalibisha kusikiliza na kudownload nyimbo yao mpya kabisa inaitwa WACHA WASEME.Sitaki niongee Sana.Maskio yako yatasikia, afu mdomo wako utasema kwa kudondosha COMMENT hapo Chini..
No comments