Breaking News

IJUE SABABU KUU YA DIAMOND PLATNUMZ KUACHIA NYIMBO MPYA.


  • W.C.B, Diamond platnumz pamoja na uongozi wake wa W.C.B umesema kwamba diamond platnumz mda wote anaweza kuachia nyimbo yake mpya, Endapo kama nyimbo yake aliyowashirikisha P-square ya KIDOGO(video), Kama itafikisha views laki tano(500000). Adi sasa video hiyo imefikisha views 4,764,307. Swali ni je? Diamond atatoa nyimbo aliyofanya na NeYo, Tusubiri tuone.

No comments